Saturday, 5 April 2014

Mamba mla watu Anaswa Ziwa Victoria…!!

Locals from of the Kakira village, in eastern Uganda, gather to look at the enormous man-eating crocodile believed to have killed six people 
Mamba aliekua akiishi katika ziwa Victoria mwenye umri wa miaka 80, mwenye uzito unaokadiriwa kukaribia tani moja amekamatwa katika ziwa Victoria upande wa Uganda ni baada ya wananchi kulalamika kuhusu mamba huyo anaekula watu, huku akikadiriwa kuwa ameshakula watu wasiopungua sita mpaka kukamatwa kwake
Handful: The powerful beast measured 18ft long and weighed approximately a tonne. It is thought to be over 80-year-old watu wengi kutoka kijiji  cha kakira walifika kushuhudia mamba huyo akitolewa majini, huku wakiwa na nyuso za furaha na wengi wakipiga picha

No comments:

Post a Comment