Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Majina ya wakurugenzi walio timuliwa kazi na waziri wa tamisemi Hawa Ghasia haya hapa.......... nibaada ya kuboronga uchaguzi serikali za mitaa

Majina ya wakurugenzi walio timuliwa kazi na waziri wa tamisemi Hawa Ghasia haya hapa.......... nibaada ya kuboronga uchaguzi serikali za mitaa


Dar es Salaam. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Ghasia amewasimamisha kazi wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali kutokana na kuchelewa kuandaa na kupeleka vifaa vya kupigia kura pamoja na uzembe katika kutekeleza majukumu yao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima Jumapili iliyopita. Akizingumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, waziri Ghasia amesema uamuzi huo umefanyika baada ya Rais kwa mujibu wa sheria kuridhia adhabu hizo zitolewe. Alisema wakurugenzi waliosimamishwa kazi ni watano ili kupisha uchunguzi zaidi wa kiwango cha ushiriki wao katika... bofya hapa taarifa inaendelea.....

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. THE WORLD OF TODAY - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by World of Today TEAM
Proudly powered by Blogger