TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU
WA SHERIA AWAMU YA TATU (JANUARI HADI MACHI 2015). MPANGO HUO
UMESITISHWA HADI UTARATIBU UTAKAPOTOLEWA KWA VIJANA WATAKAOMALIZA KIDATO
CHA SITA MEI 2015. HIVYO KUANZIA JANUARI HADI MEI 2015 VIKOSI VYA
MAFUNZO HAVITAPOKEA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA. KILA MMOJA ANAYEHUSIKA
AZINGATIE TANGAZO HILI.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU jkt makao makuu
0 comments :
Post a Comment