Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAMBO MAZITO!!!!! TUNDU LISU AFANYA KUFURU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAAA

MAMBO MAZITO!!!!! TUNDU LISU AFANYA KUFURU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAAA







 ·
TUNDU LISSU AFANYA KUFURU,
Licha ya baadhi vyombo vya habari na wana CCM kutangaza kuwa Tundu Lissu anapumulia mashine katika siasa za Singida Mashariki, matokeo ni kama ifuatavyo, Jimbo lina vijiji 50, Uchaguzi umefanyika katika vijiji 43, kwa sababu vijiji 7 uchaguzi umesimamishwa kwa amri ya mahakama, baada ya Lissu kuigaragaza serikali na hila za kuwawekea pingamizi wagombea wote wa Chadema, Katika vijiji 43 ambapo uchaguzi umefanyika Chadema wameshinda vijiji 40, CCM 2, na CUF 1. Katika vijiji 2 walivyoshinda CCM kupata nafasi ya mwenyekiti, wajumbe wa serikali za mitaa wote wanatoka CHADEMA, Kazi nzuri: Ujumbe wa Lissu anasema matokeo haya ni kiashiria kizuri kwa kura ya maoni ya katiba na uchaguzi Mkuu 2015, anasema wananchi sasa wanataka mabadiliko

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. THE WORLD OF TODAY - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by World of Today TEAM
Proudly powered by Blogger