Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Breaking Nyuzzzzz....: Msanii Diamond ahojiwa polisi, asalimisha magwanda ya jeshi, aachiwa kwa dhamana

Breaking Nyuzzzzz....: Msanii Diamond ahojiwa polisi, asalimisha magwanda ya jeshi, aachiwa kwa dhamana

 


MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya nchini,Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amehojiwa na Jeshi la Polisi baada ya kuonekana na mavazi halisi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Tamasha la Fiesta lililofanyika jijini Dar mwishoni mwa wiki.* *Diamond amejikuta hapo siku moja tu baada ya Meneja wake Babu Tale kukamatwa jana kwa kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi hayo ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta.* *Habari zinasema Diamond naye alijisalimisha mwenyewe polisi ambako baada ya mahojiano aliachiwa kwa dhamana. Magwanda aliyokuwa nayo ali read more

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. THE WORLD OF TODAY - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by World of Today TEAM
Proudly powered by Blogger