Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » BARABARA YAANGUKA NCHINI BRAZIL KWENYE MJI MWENYEJI WA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

BARABARA YAANGUKA NCHINI BRAZIL KWENYE MJI MWENYEJI WA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA





Mtu mmoja amethibitishwa kufariki Dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya moja ya Barabara iliyokuwa kwenye matengenezo kukatika katika mji wa Belo Horezonte karibu na eneo lenye shughuli nyingi la Lagoa da Pampulha,nchini Brazil.* *Barabara hiyo ipo kilometa 3 kutoka Mineirao Stadium,uwanja uliotumika kwa mechi mbali mbali za kombe la dunia na utatumika kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014.* * Barabara hii ilikuwa ni moja ya kiungo kinachounganisha uwanja wa mpira na uwanja wa Kimataifa wa Ndege. Barabara hiyo ni mpango wa mbasi ya mwendo kasi amba soma zaidi

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. THE WORLD OF TODAY - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by World of Today TEAM
Proudly powered by Blogger